Leo hii wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA), wametii amri ya chama hicho kwa kuandamana ili kushindikiza bunge la katiba lihairishwe.
Monday, 22 September 2014
Friday, 19 September 2014
Embu angalia kazi ya mchina +18 only
Hii ni athari ya dawa ya mchina baada ya dada huyu wa kiamerica kutumia dawa ya kuongeza matiti na, kusababisha matiti kuwa makubwa zaidi kulivyo alivyotaka yeye
dah!!! Jamani mchina ni nouma
Thursday, 18 September 2014
Polisi mzigoniii
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye maandamano ya chadema yaliozuiliwa na polisi nchini mapema siku ya leo
Mwanafunzi ajinyonga!!!!!!
Mwanafunzi mmjoma wa shule moja hapa nchini amejinyonga baada ya kwenda hospitali ili apate matibabu na kuambiwa kuwa itabidi alazwe bila ya kujulikana ugonjwa wake, mwanafunzi huyo baada ya kuambiwa hivyo aliamua kujinyonga baada ya kukosa matibabu kutoka kwa madaktari wa hospitali hiyo
Polisi kuwatimua wafuasi wa chadema
Polisi jijini dar es salaam wamelazimika kuwatimua wafuasi wa chadema kwa kutumia mabomu ya machozi na mbwa wao baada ya kuandamana kuelekea makao makuu ya polisi.
BUNDI AZUA TAFRANI!!!!!!!!!!
Bundi ni ndege ambaye huonekana kwa nadra sana mida ya mchana
bhas wakazi wa manzese big brother wameingiwa na mshangao mkubwa, baada ya kumuona bundi mmoja aliyetua kwenye kituo kimoja cha kuuzia mafuta, na kusababisha shughuli ya kuuza mafuta kwenye kituo hiko kusimama baada ya watu wengi kwenda kumshuhudia bundi.
Wednesday, 17 September 2014
Polisi mzigoni
Polisi wa wilaya ya korogwe wameingia kwenye operesheni ya kuwakamata wakenya walioingia kwenye hifadhi ya kiloza wilayani korogwe mkoani tanga
Monday, 15 September 2014
Kwa wanjanja wa mjini ndo wanajua kitu kinachoendelea
Je, umegundua kitu gani kwenye hii picha?
Mmhh haya ni maujanja ya watu
haya kama na ww umejua bhasi tuambie na ss wengine ili tujue
+18 only
Wadau mtoto kanona huyo anahitaji kampani
je, unataka kumpa kampani?
Comment utumiwe namba yake ili ukainjoi na mtoto bila matatizo
Monday, 8 September 2014
BABU SEA NJE....!!!!
Taarifa mpya kwa sasa ambazo zipo mitahani zinazo zungumzia kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza(Maarufu kwa jina la Papii Kocha).
Imesadikika kuwa maneno hayo si ya kweli bali ni ya uongo na ya kupotosha wananchi na jeshi la magereza limeomba watu hao wanao sambaza habari hizo waachane na tabia hiyo..
