Monday, 22 September 2014

CHADEMA NOUMA SANA!!!!!

Leo hii wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA), wametii amri ya chama hicho kwa kuandamana ili kushindikiza bunge la katiba lihairishwe.

Friday, 19 September 2014

Embu angalia kazi ya mchina +18 only

Hii ni athari ya dawa ya mchina baada ya dada huyu wa kiamerica kutumia dawa ya kuongeza matiti na, kusababisha matiti kuwa makubwa zaidi kulivyo alivyotaka yeye
dah!!! Jamani mchina ni nouma

Thursday, 18 September 2014

Polisi mzigoniii

Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye maandamano ya chadema yaliozuiliwa na polisi nchini mapema siku ya leo

Mwanafunzi ajinyonga!!!!!!

Mwanafunzi mmjoma wa shule moja hapa nchini amejinyonga baada ya kwenda hospitali ili apate matibabu na kuambiwa kuwa itabidi alazwe bila ya kujulikana ugonjwa wake, mwanafunzi huyo baada ya kuambiwa hivyo aliamua kujinyonga baada ya kukosa matibabu kutoka kwa madaktari wa hospitali hiyo

Polisi kuwatimua wafuasi wa chadema

Polisi jijini dar es salaam wamelazimika kuwatimua wafuasi wa chadema kwa kutumia mabomu ya machozi na mbwa wao baada ya kuandamana kuelekea makao makuu ya polisi.

BUNDI AZUA TAFRANI!!!!!!!!!!

Bundi ni ndege ambaye huonekana kwa nadra sana mida ya mchana
bhas wakazi wa manzese big brother wameingiwa na mshangao mkubwa, baada ya kumuona bundi mmoja aliyetua kwenye kituo kimoja cha kuuzia mafuta, na kusababisha shughuli ya kuuza mafuta kwenye kituo hiko kusimama baada ya watu wengi kwenda kumshuhudia bundi.

Wednesday, 17 September 2014

Polisi mzigoni

Polisi wa wilaya ya korogwe wameingia kwenye operesheni ya kuwakamata wakenya walioingia kwenye hifadhi ya kiloza wilayani korogwe mkoani tanga

Monday, 15 September 2014

Kwa wanjanja wa mjini ndo wanajua kitu kinachoendelea

Je, umegundua kitu gani kwenye hii picha?
Mmhh haya ni maujanja ya watu
haya kama na ww umejua bhasi tuambie na ss wengine ili tujue

+18 only

Wadau mtoto kanona huyo anahitaji kampani
je, unataka kumpa kampani?
Comment utumiwe namba yake ili ukainjoi na mtoto bila matatizo

Monday, 8 September 2014

BABU SEA NJE....!!!!

Taarifa mpya kwa sasa ambazo zipo mitahani zinazo zungumzia kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza(Maarufu kwa jina la Papii Kocha). Imesadikika kuwa maneno hayo si ya kweli bali ni ya uongo na ya kupotosha wananchi na jeshi la magereza limeomba watu hao wanao sambaza habari hizo waachane na tabia hiyo..

AJALI AJALI...??

Ni Air bus ilikuwa inatoka mjini Dar es salaam na kuelekea mjini Tabora imepata ajali maeneo ya gairo mkoani Morogoro. Watu watano wasadikiwa kufariki baada ya ajali hiyo kutokea huku majeruhi zaidi ya kumi na saba kupelekwa hospitalini kwa matibabu..