Taarifa mpya kwa sasa ambazo zipo mitahani zinazo zungumzia kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza(Maarufu kwa jina la Papii Kocha).
Imesadikika kuwa maneno hayo si ya kweli bali ni ya uongo na ya kupotosha wananchi na jeshi la magereza limeomba watu hao wanao sambaza habari hizo waachane na tabia hiyo..
No comments:
Post a Comment