Thursday, 18 September 2014

BUNDI AZUA TAFRANI!!!!!!!!!!

Bundi ni ndege ambaye huonekana kwa nadra sana mida ya mchana
bhas wakazi wa manzese big brother wameingiwa na mshangao mkubwa, baada ya kumuona bundi mmoja aliyetua kwenye kituo kimoja cha kuuzia mafuta, na kusababisha shughuli ya kuuza mafuta kwenye kituo hiko kusimama baada ya watu wengi kwenda kumshuhudia bundi.

No comments:

Post a Comment