Mwanafunzi mmjoma wa shule moja hapa nchini amejinyonga baada ya kwenda hospitali ili apate matibabu na kuambiwa kuwa itabidi alazwe bila ya kujulikana ugonjwa wake, mwanafunzi huyo baada ya kuambiwa hivyo aliamua kujinyonga baada ya kukosa matibabu kutoka kwa madaktari wa hospitali hiyo
No comments:
Post a Comment