Thursday, 18 September 2014

Polisi kuwatimua wafuasi wa chadema

Polisi jijini dar es salaam wamelazimika kuwatimua wafuasi wa chadema kwa kutumia mabomu ya machozi na mbwa wao baada ya kuandamana kuelekea makao makuu ya polisi.

No comments:

Post a Comment