Monday, 8 September 2014

AJALI AJALI...??

Ni Air bus ilikuwa inatoka mjini Dar es salaam na kuelekea mjini Tabora imepata ajali maeneo ya gairo mkoani Morogoro. Watu watano wasadikiwa kufariki baada ya ajali hiyo kutokea huku majeruhi zaidi ya kumi na saba kupelekwa hospitalini kwa matibabu..

No comments:

Post a Comment